×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maafisa tofauti wala kiapo ikulini huku makamanda wakipandishwa cheo l Mbiu ya KTN

13th July, 2018

Rais Uhuru Kenyatta adhuhuri ya leo alisimamia na kushuhudia  kiapo cha makamanda wa vikosi vya jeshi, waliopandishwa madaraja katika vikosi vya jeshi la nchi kavu, jeshi la angani na kile kikosi cha majini. Kwa mara ya kwanza,  jeshi la kenya limempata mwanamke wa kwanza katika daraja la meja jenerali, ambapo Fatuma Ahmed amepandishwa daraja hadi kwenye ngazi hiyo.

 

.
RELATED VIDEOS