Manoah Esipisu apewa cheo cha ubalozi huku mabadiliko serikalini yakitangazwa

KTN News Jul 13,2018


View More on KTN Mbiu

Mabadiliko kwenye serikali imeona Peter Munya miongoni ya waliopewa vyeo vipya, huku akiwa waziri wa biashara. Adan Mohamed, Wizara ya Afrika Mashariki na wengine pia waliitangazwa.