Wafanyibiashara wakabiliana na polisi - 12/07/2018 - Leo Mashinani Part 2

KTN News Jul 12,2018


View More on Leo Mashinani

Shughuli za usafiri zatatizika katika barabara ya landhies Nairobi baada ya makabiliano makali kati ya polisi na wafanyibiashara wa soko la marikiti.