×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafungwa watamaushwa na mwendo wa pole wa mamlaka husika kuwapa msamaha

10th July, 2018

Wafungwa katika Jela la Shimo la Tewa wameelezea kutamaushwa na mwendo wa pole unaochokuliwa na Mamlaka husika kuwapa msamaha utakaowawezesha kuachiliwa huru. Wanasema ni takriban wafungwa mia mbili tu ndio wameachiliwa huru katika mpango huo wa kutoa msamaha katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Wafungw hao walikuwa wakizungumza katika mkutano wa kusikiliza maombi ya msamaha  ulioandaliw na kamati ya kutoa msamaha kwa wafungwa. Jela la shimo la tewa lina idadi ya zaidi ya wafungwa alfu nne.

.
RELATED VIDEOS