×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tume ya Ardhi imesema kuwa inalenga kukamilisha kesi 400 kuhusu ardhi kote nchini

10th July, 2018

Tume ya ardhi imesema kuwa inalenga kukamilisha kesi 400 kuhusu ardhi kote nchini kama njia mojawepo ya kusawazisha makosa yaliyotokea tangu enzi ya ukoloni. Makamishna wa tume hiyo samuel tororei na rose musyoki tayari wamefika katika kaunti ya nandi kuanzisha mikakati ya kuleta suluhu. Tunajiunga na mwandishi wetu elvis kosgei.

.
RELATED VIDEOS