Mwanafunzi aachishwa shule baada ya madai ya kuvamiwa na mapepo
6th July, 2018
Shule moja ya msingi katika kaunti ya Migori imemwachisha shule mwanafunzi moja wa darasa la saba. Mwalimu mkuu wa shule ya Nyamone Joshua Siro amesema mwanafunzi huyo amekuwa akipagawa na mapepo