6th July, 2018
Awali mbunge wa Tiaty William Kassait Kamket alimtembelea Gavana wa Busia Sospeter Ojaamong' alipokuwa akizuiliwa korokoroni kufuatia kesi ya ubadhirifu wa fedha za umma. Kamket alielezea uhuhimu wa dhamana kwa waheshiwa na viongozi wa haiba kama ya Ojaamong.