×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtoto wa mwaka mmoja unusu auguza majeraha baada ya kulawitiwa Eldoret

5th July, 2018

Mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja unusu anauguza majeraha mabaya baada ya madai ya kulawitiwa katika eneo la Baharini mjini Eldoret katika kaunti ya Uasin Ngishu. Wenyeji wanasema mtu aliyehusika na ulawiti huo anafahamika lakini aliachiliwa na polisi muda mfupi tu baada ya kukamatwa

 

.
RELATED VIDEOS