×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bunge yapitisha hoja ya kuundwa kwa vyuo vya kukuza talanta

4th July, 2018

Bunge la taifa limepitisha kwa kauli moja hoja ya kuundwa kwa vyuo vya mafunzo ili kukuza talanta katika kila eneo bunge.

Kipengele cha 33 sehemu ya (4) cha sheria ya michezo kinapendekeza kubuniwa kwa taasisi ya mafunzo kwa minajili ya kuunda vyuo vya kukuza talanta.

.
RELATED VIDEOS