.
3rd July, 2018
Hali tata imeikumba shule ya sekondari ya wasichana ya Ngara iliyoko kaunti ya Nairobi baada ya taarifa kutokea kuwa msichana wa umri wa miaka kumi na sita katika kidato cha kwanza hajulikani aliko. Familia yake ikiachwa na maswali mengi kuhusiana na aliko mtoto wao.