×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanaume wamasai wakubaliana kuwaunga mkono viongozi wanawake

2nd July, 2018

Wanaume wa matabaka  mbali mbali kutoka jamii ya wamaasai wamekubaliana kwa kauli moja kuwaunga mkono viongozi wanawake katika jamii hiyo. Wakizungumza katika hafla ya kumvisha kofia ya uchifu Bi. Mary Rakita wanaume hao walijilaumu ni kwa nini hawakuwapa nafasi wanawake  tangu kitambo ili walete maendeleo kupitia mbinu zao adimu za kuiongoza jamii. aidha waliongeza kuwa hawataona haya kupeleka kesi zozote hata zile za mizozo ya nyumbati kwa machifu wa kike ili zisikizwe na kuamuliwa vilivyo.

.
RELATED VIDEOS