.
30th June, 2018
Wazazi wa wanafunzi sita wa kike wa shule ya upili ya Ney Nyagha Gatanga waliopotea mapema wiki hii sasa wamejipata kwenye njia panda huku wakihofia huenda watoto wao wakajihusisha na makundi haramu