×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msipange kuiba mtihani wa kitaifa, waziri Amina aonya

29th June, 2018

Waziri wa elimu daktari Amina Mohamed ameonya dhidi ya udanganyifu kwenye mitihani ya taifa mwaka huu. Waziri amewatahadharisha walimu na wanafunzi wanaopanga uovu huo kwenye mitihani ya kcpe na kcse mwaka huu, kwamba wataadhibiwa vikali. Alizungumza huko Eldoret.

 

 

.
RELATED VIDEOS