×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jukwaa la KTN: Dalili za homa zaonekana Isiolo

26th June, 2018

Waziri wa mifugo na uvuvi kaunti ya Isiolo Benjamin Lopetet ametangaza kupigwa marufuku kwa usafirishaji wa mifugo kuingia na kutoka kaunti hiyo, marufuku ya uuzaji wa mifugo pamoja na kufungwa kwa soko, vichinjio na maduka ya kuuzia nyama kwa muda was siku 14.

.
RELATED VIDEOS