Wasafirishaji waandamana Muranga

Jukwaa la KTN | Monday 25 Jun 2018 6:40 pm

Wasafirishaji wa mchanga na bidhaa nyengine za ujenzi kaunti ya Muranga, wameandamana hii leo kupinga kile walichotaja kuwa kodi ya juu inayotozwa na serikali ya kaunti hiyo