.
25th June, 2018
Meneja mkurugenzi wa halmashauri ya ubora wa bidhaa Charles Ongwae na wengine saba wamefika mbele ya mahakama hii leo ambapo wanakabiliwa na mashtaka kadha wa kadha yanayohusiana na kuingizwa nchini kwa mbolea inayodaiwa kuwa ya magendo