Orengo na Lusaka waunga mkono mwito wa Rais Uhuru Kenyatta I Mbiu Wikendi

KTN News Jun 24,2018


View More on KTN Mbiu

Mjadala kuhusu agizo la rais la kutaka mali ya maafisa na viongozi wa serikali kuchunguzwa  unazidi kushika kasi huku Spika wa bunge la senate Ken Lusaka na seneta wa kaunti ya siaya  James Orengo wakiunga mkono agizo hilo wakilitaja kuwa hatua muhimu katika kuutokomeza ufisadi nchini. Haya na habari zingine muhimu katika Mbiu Wikendi