Kalonzo Musyoka aipongeza serikali kwa hatua inazochukua katika sakata ya sukari
23rd June, 2018
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepongeza hatua ya rais Uhuru Kenyatta na vyombo vya usalama kuwakamata washukiwa wanaodhaniwa kuwa wanahusika katika sakata ya sukari nchini