Waathiriwa wa mafuriko Garissa wapata msaada wa chakula I Mbiu Wikendi
23rd June, 2018
Shirika moja lisilokuwa la serikali chini ya Kanisa Angilikana linalohudumu katika maeneo ya kaskazini limetoa msaada wa vyakula kwa wathiriwa wa mafuriko katika eneo la garissa