22nd June, 2018
Kituo cha Radio Maisha hii leo kimezindua misafara katika sehemu kadhaa jijini Nairobi katika kuzinduliwa kwa uhusiano baina ya kituo hicho kinachomilikiwa na shirika la The Standard Group na taasisi ya East African School of Aviation .