Woman kills self and children after an alleged misunderstanding with husband
22nd June, 2018
Je umewahi kufikiria tukio la mzazi kumuua mwanawe kwa njia
yoyote ile? Basi huko nakuru mama mmoja alifanya jaribio la
maksudi la kuwaua watoto wake watatu kwa kuwapa sumu.
mmoja wa watoto hao alikata roho naye mwenyewe akajiua.
inadaiwa kuwa ulikuwepo mzozo kati ya mama huyo na
mumewe