×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Upanzi wa Miti: Miche yapandwa kajiado

22nd June, 2018

 
Wakazi kaunti ya kajiado wamehimizwa  kununua matenki ya 
maji ili kuhifadhi maji ya kunyunyizia miche ambayo ilipandwa 
msimu wa mvua. Wakizungumza katika hafla ya upanzi Miche 
mia mbili katika shule ya msingi ya Orchard mjini Kitengela 
maafisa wa nema wamesema wataanza mradi wa kukagua miti 
inayofaa kila eneo humu nchini kutokana na hali ya anga, ili 
wasiwe wanapanda miti bila kujua iwapo hali ya anga eneo 
hilo itafaa
 
.
RELATED VIDEOS