×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KEBS yasema sukari ya magendo haina sumu (zebaki) bali copper, wakenya wamwamini nani?

21st June, 2018

Mkurungenzi wa shirika la kukadiria ubora wa bidhaa nchini KEBS Charles Ongwae ameiambia kamati ya bunge kuhusu kilimo kwamba maafisa wake hawakupata ushahidi wowote wa sumu katika sampuli ya  sukari iliyowasilishwa katika maabara yake. Ongwae amesema sukari yote inayoagizwa hukaguliwa inakotoka  na cheti cha uhalali na ubora kutolewa. 

.
RELATED VIDEOS