×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mama awapa sumu wanawe watatu, ajaribu kuwanyonga kabla ya kujitosa mtoni Nakuru

21st June, 2018

Mwanammke mmoja mwenye umri wa miaka28 amewashangaza wengi kwa kuwapa sumu wanawe watatu na kisha kujaribu kuwanyonga mmoja baada ya mwingine  kabla ya kujitumbukiza katika mto na kujitoa uhai. Kisa hicho kimetokea katika kijiji cha Sumeek katika kaunti ya nakuru.  mtoto mmoja mwenye  umri wa miaka mitatu aliaga dunia huku wawili wakinusurika baada ya kupokea matibabu katika kliniki moja katika eneo hilo.

.
RELATED VIDEOS