.
19th June, 2018
Bado tunataka haki. Ndio matamshi ya akina mama waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2007/2008 waliopata watoto baada ya dhulma za ngono. akina mama hao walizungumzia uchungu walio nao na matumaini yao ya kupata haki.