×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamaa auawa Kamulu kwa kutolipa Sh50 kibandani

19th June, 2018

Jamaa mmoja amedungwa kisu na kuuawa maeneo ya Kamulu kwa kukosa kulipa chakula cha shilingi hamsini kwenyekibanda kimoja. Inadaiwa mwenye kibanda hicho kwa usaidizi wa mkewe walimvamia jana usiku na kumdunga kisu  jamaa huyo aliyekosa kulipa shilingi hamsini baada ya kula  githeri . Wenyeji wa eneo hilo waliojawa na gadhabu  walivamia kibanda hicho na kukiteketeza huku wakitishia kulemaza biashara iwapo polisi hatawakamata wahusika hao wawili. Maafisa wa usalama waliuchukua mwili wa mwathiriwa na kuupeleka katika chumba cha kuhifadhia maiti.

 

.
RELATED VIDEOS