18th June, 2018
Aliyekuwa daktari wa serikali wa upasuaji wa miili Dr. Moses Njue hatimaye amefunguliwa mashtaka matatu ikiwemo wizi wa moyo katika mwili wa marehemu benedict karau katika chumba cha kuhifadhi maiti, kuharibu ushahidi na kuondoa viungo vya mwili wa binadamu bila idhini