Chama cha Wiper chaunga mkono wito la Rais Uhuru la kupigana na ufisadi
18th June, 2018
Chama cha wiper kimesema kuwa kinaunga mkono agizo la Rais Uhuru Kenyatta kuchunguza mali ya maafisa wote wa serikali katika vita vinavyoendelea dhidi ya ufisadi serikalini.