Askofu wa Embu asema kuwa serikali inafaa kutafuta mbinu maalum ya kupambana na ufisadi
18th June, 2018
Askofu wa jimbo la Embu la kanisa katoliki Paul Kariuki ametoa changamoto kwa serikali ya jubilee kukomesha ufisadi au watoe nafasi kwa utawala wengine ikiwa wameshindwa kukabili tatizo hilo