18th June, 2018
Sukari zaidi inayoaminika kuwa na madini hatari ya zaibaki na shaba nyekundu imenaswa katika mji wa meru na nakuru katika oparesheni ya maafisa wa mamlaka ya kukusanya ushuru nchini inayoendelea kupambana na bidhaa za magendo kote nchini