Kamati ya kilimo yazuru PanPaper baada ya sukari haramu kuripotiwa Webuye
17th June, 2018
Kamati ya kilimo yazuru PanPaper baada ya sukari haramu kuripotiwa Webuye. Viongozi walitoa hisia zao kuhusu swala ambalo limewaacha wanaanchi wakiwa na wasiwasi.