13th June, 2018
Hii leo katika gumzo la kaunti mtazamaji tunazungumzia mswada wa maendweleo mseto katika kaunti ya Meru uliowasilishwa na mwakilishi wadi ya nyaki East Robert Kithinji. Mwanahabari George Maringa amefanya mahojiano naye kuhusu mswada huo na umuhimu wake kwa wakazi wa Meru.