12th June, 2018
Kaunti ya Nairobi inatarajiwa kumfanyia mchujo wakili Miguna Miguna kama naibu wa gavana wake ,hii ni hata baada ya kubainika kuwa Miguna Miguna huenda hajaridhishwa na uteuzi huo . Mwanahabari eliphas lagat hii leo alizungumza na Mary Ariviza ambaye ni mwakilishi maalum wa wadi.