Makubaliano ya Uhuru-Raila hayajafaidi jamii ya Wakamba, mbunge alalamika
9th June, 2018
Mbunge wa Mwingi Magharibi Charles Nguna anasema kuwa mapatano kati ya rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila hayajaifaidi jamii ya Wakamba ambayo haijapata nyadhifa muhimu serikalini licha ya kuwa mshirika mkuu.