×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Meru yazindua mpango wa kuwainua kina mama kiuchumi

8th June, 2018

Wanawake katika kaunti ya Meru watakuwa na sababu ya kutabasamu baada ya kuzinduliwa kwa mpango wa twaweza. Mradi huo unanuia kuhamasisha wanawake na mtoto wa kike kwa jumla kuhusu kujiinua katika siasa na uchumi.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na kufunguliwa rasmi na gavana Kiraitu Murungi na mkewe Priscilla.

 

.
RELATED VIDEOS