×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Nairobi yawatia mbaroni wachuuzi soko la City Market

8th June, 2018

Kaunti ya Nairobi mapema hii leo imewatia mbaroni wachuuzi kwenye soko la City Market mkurugenzi wa utekelezaji Peter Mbaya amesema oparesheni hio inanuia kuwanasa wafanya biashara wasio na leseni kutoka mamlaka husika jambo analitaja kama hatari kubwa kwa wakaazi wa Nairobi. Mbaya amesema oparesheni hio itaendelezwa kwenye masoko ya Kariakor na Burma. Wachuuzi hao wamelalama kwamba walidhulumiwa wakati wakitiwa mbaroni.

.
RELATED VIDEOS