×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wamiliki wa baa katika kaunti ya Embu wameteta kunyanyaswa na maafisa wa serikali

7th June, 2018

Wamiliki wa baa katika kaunti ya Embu wameteta kunyanyaswa na maafisa wa serikali wanaofanya uchunguzi kwa wale wanaokiuka sheria za matumizi ya vinywaji haswa vileo. Wamiliki hao wameteta maafisa wa NACADA, KEBS na wale wa KRA wanafanya kazi isiyo yao kwani jukumu la kutoa leseni kwa wahudumu wa baa zinatolewa na serikali za kaunti. 

.
RELATED VIDEOS