×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jukwaa la KTN: Magunia 1474 ya sukari haramu yapatikana katika mtaa wa Easleigh

5th June, 2018

Magunia 1474 ya sukari haramu yamepatikana katika mtaa wa Easleigh pamoja na mitungi 504 ya lita 20 ya mafuta haramu. Hii ni kwa mujibu wa inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet ambaye amesema haijulikani mizigo hiyo imetoka nchi gani huku akiripoti kukamatwa kwa watu watatu kwa kushukiwa kuhusiaka. Aidha amedhibitisha uchunguzi umeanza huku vipimo vya bidhaa hizo vikichukuliwa kubaini iwapo ni salama kwa matumizi na binadamu.

.
RELATED VIDEOS