×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa elimu Amina Mohammed ameamrisha kuvunjwa kwa bodi ya shule ya upili ya Moi: Mbiu ya KTN

5th June, 2018

Waziri wa elimu Amina Mohammed ameamrisha  kuvunjwa kwa bodi  ya  shule ya upili ya Moi Girls baada ya  msichana mmoja kuthibitrishwa kubakwa katika shule hiyo. Wakati huohuo  mwalimu mkuu wa shule hiyo Joel Mureithi ameamua kustaafu kutokana na suala hilo . Waziri Amina alitoa maagizo hayo wakati wa mkutano na wanahabari ambapo pia alitoa amri ya kuimarishwa kwa usalama  nje ya shule hiyo.

.
RELATED VIDEOS