×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanawake wanaongoza katika uuzaji bangi Murang'a, naibu kamishna ateta

4th June, 2018

Wanawake wa Murang’a Kusini wanaongoza katika biashara ya kuuza bangi. Hii ni kwa mujibu wa naibu kamishina wa eneo hilo Titus Macharia. Macharia hata hivyo ameteta kwamba wanawake hao wanapofikishwa mahakamani wanatozwa faini ndogo mno na hivyo kutaja vita dhidi ya mauzo ya bangi vinakumbwa na matatizo mengi. Akizungumza huko Kamahuha pia amesema matumizi ya pombe ni ya kiwango cha juu na kutaja kuwa maeneo ya kutengeneza pombe ni mengi mno kuzidi shule. 

 

.
RELATED VIDEOS