×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanahabari wa KTN Cecilia Wakesho afunga pingu za maisha

2nd June, 2018

Mwanahabari shupavu wa KTN Sycilia Mzae Wakesho hii leo amefunga pingu za maisha na mpenziwe Moses Mathuva. Sherehe hiyo ya harusi ilifanyika katika kanisa la Kianglikana la All Souls Cathedral huko Machakos. Maharusi hao baadaye waliandamana na wazazi, ndugu na marafiki kwa karamu murwa kabisa ya chakula na kukata keki katika bustani la Machakos Golf Club. Hongera sana kwa bwana na bi Mathuva na nawatakia kheri njema wanapoanza safari yao ya maisha pamoja. 

.
RELATED VIDEOS