'Ndoa' yangu na Rais Kenyatta siyo ya kutaka nusu mkate, Raila asisitiza
2nd June, 2018
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga alijumuika na jamii ya waislamu kwa sherehe za Iftar hapo jana na kusisitiza kuwa ndoto yake ya mabadiliko katiba bado ipo ili kuleta usawa na umoja kwa kila mkenya.