31st May, 2018
Klabu cha Simba kutoka bongo Tanzania kimetua nchini tayari kwa kinyanganyiro cha kombe la Super Cup kutoka juni 3. kombe hili linajumuisha timu sita kutoka nchi za Kenya na Tanzania huku mshindi akipata nafasi ya kuchuana na Everton katika uga wa Goodison Park baadaye. Kenya itawakilishwa na miongoni mwao Gor Mahia mabingwa washikilizi na viongozi wa ligi kuu.