Kuna haja ya kuwa na sera muafaka nchini za kushughulikia maradhi ya akili? - Jukwaa la KTN
30th May, 2018
Mkengeuko wa nafsi/bipolar ni hali inayosababisha kugeuka kwa hali kulingana na mazingira inaathiri watu milioni 60 ulimwenguni. Ni za aina mbili – bipolar 1, bipolar 2