×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kiongozi wa mashtaka apokea faili za kampuni na watu katika sakata ya NYS

27th May, 2018

Kiongozi wa mashtaka ya umma Nordin Hajji amepokea faili kumi ambazo  zina mapendekezo ya kufunguliwa mashtaka kuhusiana na sakata ya shilingi bilioni 9 katika idara ya huduma ya vijana NYS.  Faili hizo zinajumuisha kampuni 10 na watu zaidi ya 40.  Haya yanajiri huku naibu rais William Ruto akionya asasi za kupambana na ufisadi kuwajibika na kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua kali.

.
RELATED VIDEOS