×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Rift Valley walaumiana kuhusu ufisadi, wamsuta Alfred Keter, Silas Tiren kwa unafiki

27th May, 2018

Viongozi kutoka eneo la Rift Valley wameendelea kunyosheana kidole cha lawama kuhusiana na sakata ya mahindi ambapo orodha ya watu 18 ilitolewa kwa madai kwamba waliifilisi NCPB. Kesho panatarajiwa maandamano ya wakulima mjini Eldoret ambapo mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter ameapa kuyaendesha  licha ya kuonywa na baadhi ya viongozi wa Rift Valley.

.
RELATED VIDEOS