27th May, 2018
Wazee wa jamii ya Agikuyu wameshikilia msimamo wao wa awali na wanalitaka kanisa la PCEA kukoma kuwakanya waumini kushuriki katika shughuli za utamaduni wa wakikuyu. Wakizungumza mjini Kikuyu wamesema kuwa wamewaalika viongozi wa PCEA ili kuzungumza nao kuhusiana na suala hilo.