AKILI NI MALI: Jamaa Laikipia atengeza gesi ya kupika kutumia mmea wa cactus
26th May, 2018
Uzalishaji wa gesi ya kupika, sio jambo geni chini, huku watu wengi wakitumia samadi kufanya hivyo. Hata hivyo jamaa mmoja eneo la Laikipia Kaskazini, anatumia mmea wa cactus kutimiza hilo.