26th May, 2018
Idadi kubwa ya vijana wanategemea pakubwa wazazi wao na watu walio karibu kujikimu maishani kutokana na ukosefu wa kazi. Shirika lisilokuwa la kiserikali la CAPYEI limebuni njia ya kuwawezesha zaidi ya vijana elfu thelathini kujikimu kiuchumi ili wajitegemee.