25th May, 2018
Biashara za uchukuzi wa bodaboda zilizsimama kwa muda
katika mji wa Machakos kufuatia mkutano wa dharura na
mkuu wa kituo cha polisi cha Machakos na mwenyekiti wao
allan musembi kuhusu matukio ya wizi wa pikipiki katika eneo
hilo wakizungumza na wanahabari wakati
walipokuwa wakijadiliana jinsi ya kukabiliana na wizi huo ,
mwenyekiti wa muungano wa waendeshaji bodaboda
wamewataka waendeshaji bodaboda kuhakikisha kwamba
wanajuana ili kuwa rahisi kuwanasa wezi .Waendeshaji
pikipiki wanadai kuwa hali hiyo imekuwa ikiendelea kwa muda
sasa